Tunawaalika watu watoe maoni yao kuhusu jinsi tunavyofanya vizuri katika Utafiti wa Kuridhika kwa Wateja.
Fuata kiungo hiki kukamilisha utafiti na kuingia kwenye droo ya kujishindia vocha ya $100.
Utafiti huo unafungwa Ijumaa tarehe 29 Septemba.